Recent content by Sakascom

  1. Sakascom

    Napenda kutoa ushauri Kwa taasisi za umma panapokuwa na changamoto au marekebisho ya kimfumo iwe inatolewa taarifa

    Napenda kutoa ushauri Kwa taasisi za umma panapokuwa na changamoto au marekebisho ya kimfumo iwe inatolewa taarifa kuwa kuanzia saa Fulani Hadi Fulani kutakuwa na jambo Fulani kwahiyo hamtakuwa hai wakati huo. Lakini Kwa sasa asilimia kubwa ya mifumo mingi ya taasisi za Umma kukiwa na...
  2. Sakascom

    Tani 2.2 za dawa za kulevya zakamatwa Tanga na Dar Es Salaam

    Kwakweli huo msako uliofanyika ni zaidi ya Movie... Hongereni sana mamlaka husika... Kwa sababu hizi laiti zingeingia sokoni hata Kwa Siku Moja tu Kwakweli ingeleta madhara makubwa sana. Kazi iendelee
Back
Top Bottom