Recent content by Saitaa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Religious conflict in Tanzania

    Wewe! Sio wote. Tunasoma san a babaangu!! Yaani kiasi cha uelewa wetu. Magazeti ya Yule mzee maarufu nano ten a jinalake .... Na vitabu voyage nani Ananunuaa!? Naomba tafrisi kitabu hicho basi bwashe tukielewe wote. Pengine tatizo lipo hapo pia ati.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uchafu maofisini

    Inatia aibu sana kuona kwamba nyingi ya ofisi zetu kwa kweli zina hali ambayo sio ya kustahili kuonrsha sura ya Taifa letu. Dote tunaona tunalalamika tunaacha. Tukumbuke kuwa hapa nazungumzia ofis kwa ujumla wake. Kuanzia ofisi kubwa Me na Ke alafu hat a vyumba tunavyovitumia. Chanamoto nayoitoa...
Back
Top Bottom