INAPANGISHWA APARTMENT
Nyumba ya Vyumba 2 (1Self), pamoja na Sebule, jiko na Choo cha Kuchangia.
Mahali: Mbezibeach Afrikana, Upande wa Kushoto kama unatokea Mwenge Ukiwa bagamoyo road.
Bei: Tshs 450,000/- kwa Mwezi
Malipo: Kuanzia Miezi 6
Nyumba ina: Aircondition, heater, Uzio na fensi, Maji...