Recent content by saidoo25

  1. saidoo25

    Kwanini Makamu wa Rais Nchimbi hajahudhuria kikao cha Kamati Kuu kilichokata jina la Mtoto wa Jenista?

    Ndugu Wajumbe, kuna maswali mengi huku mtaani kuhusu ukimya uliotanda juu ya wapi alipo Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi? Hivi majuzi kulikuwa na Kikao kikubwa cha Kamati Kuu kilichoketi Zanzibar kupitisha jina la mgombea ubunge Jimbo la Peramiho ambapo Jina la Mtoto wa Jenista lilikatwa...
  2. saidoo25

    PostGE2025 Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 yakutana na Ridhiwani Kikwete

    Wanataka kujua ukweli kuhusu tuhuma za kumiliki Lake Oil zilizochomwa siku ya uchaguzi
  3. saidoo25

    Ziara ya Kihongosi imeingia doa, wakurugenzi wa halmashauri na wafanyabiashara wapaza sauti

    Wakuu, Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya...
  4. saidoo25

    Kihongosi: Nimepokea ujumbe umoja wa ulaya imeiondolea Tanzania vikwazo leo

    EU inawasiliana na watanzania kupitia Kihongosi ambaye hata Mzee Butibu hamfahamu jina wala wadhifa wake hapo CCM
  5. saidoo25

    PostGE2025 Muda wa Samia kukaa Ikulu ulikwisha siku aliposema, ‘Kama hamkutaka Serikali tuwaue kwanini mliwaruhusu waingie barabarani?'

    Habib Mchange na washirika wako jitokezeni hadharani mkanushe hizi TAARIFA.
  6. saidoo25

    Ni nani anayemtumia Habib Mchange kulivuruga Kanisa?

    Habib Mchange katika siku za karibuni ametajwa sana kuratibu na kugharamia mikutano ya waandishi wa habari inayolenga kuwashambulia kwa kashfa viongozi wa Dini ya Kikristo nchini Tanzania. Mchange anadaiwa ndiye aliratibu mikutano ya wale viongozi wa kiislamu waliotangaza kuwakata watu vichwa...
  7. saidoo25

    Ludovick Rwezaura alishambulia Kanisa Katoliki kwa kuikosoa Serikali ya Samia

    Habibu Mchange hii project itakufikisha kubaya na wale wanaokutuma kumbuka Mzee Mwinyi na Kikwete waliongoza nchi hii hawajawahi kuwa na project za kupambana na Kanisa na wote hao walikuwa Waislamu. unadhani unamsaidia huyo unayedhani unamsaidia lakini mwisho ya haya ni kuliangamiza Taifa.
  8. saidoo25

    Ni Kweli Makatibu wa CCM Wilaya na Mikoa wengi ni wa dini fulani?

    wewe unajua dini yangu fuatilia katibu wa mkoa wako na wilaya yako ujue ukweli
  9. saidoo25

    Tetesi: GE2025 Bashe adaiwa kusababisha vikao vya CCM kuahirishwa kisa alipanga wagombea ubunge anaotaka yeye

    fuatilia majimboni ukweli mambo ya mwenezi muachie mwenezi
  10. saidoo25

    Ni Kweli Makatibu wa CCM Wilaya na Mikoa wengi ni wa dini fulani?

    mkoa uliopo utafiti unasemaje ngazi ya wilaya na mkoa
  11. saidoo25

    Ni Kweli Makatibu wa CCM Wilaya na Mikoa wengi ni wa dini fulani?

    NIMEKUTANA na mjadala kwenye Kijiwe cha Kahawa hapa mjini kuwa uchunguzi wao unaonyesha Makatibu wa CCM wa ngazi ya Wilaya na Mikoa na Jumuiya zake wengi wanatokana na Dini fulani, Je tetesi hizo ni za kweli au laa. Hebu tuitazame mikoa yetu tuone kama kuna ukweli. 1. Mkoa wa Dar es Salaam...
  12. saidoo25

    Tetesi: GE2025 Watia nia ubunge waweka kambi makao makuu ya CCM Dodoma kulilia tatu bora

    Baadhi ya watia nia ya ubunge wameonekana kwenye viunga vya Makao Makuu ya CCM Dodoma wakikutana na watu mbalimbali kwa lengo la kuwaomba wasaidiwe ili wapitishwe na vikao vya Kamati kuu kuwa wagombea ubunge. Wanadaiwa kukutana na watu mbalimbali na kuwapatia fedha ili wakashawishi vikao...
Back
Top Bottom