Recent content by SaidiNzutu

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunamshauri Kalanga aache mara moja kampeni chafu Jimbo la Monduli

    Uliyekuwa Mbunge wa Monduli tunakupa ONYO, Acha kugombanisha taasisi za serikali na viongozi wa wilaya ya Monduli. Umekuwa ukipiga simu Takukuru wilayani monduli nakuwalazimisha kwenda kukamata watia nia wenzako kwa kigezo wanafanya kampeni na kutoa rushwa. Lakin hadi leo takukuru wamekuwa...
Back
Top Bottom