Usiangalie upande mmoja mkuu, aina ya kuku anaotaka kufuga mleta mada ni kuku wa nyama ambao Dar soko lake ni kubwa kuliko mkoa wowote Tanzania.
Pia chakula kinachofanya vizuri kwa kuku hao ni cha kutoka viwandani na viwanda vingi vipo Dar, hivyo aliyemshauri kuhusu Dar yupo sahihi kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.