Recent content by saidi labu

  1. S

    JamiiForums Tanzania ISBN NUMBER

    ASBN ni nini? Umuhimu wa ISBN kwenye kitabu ni zipi? Kuna ulazima wa kuweka ISBN kwenye kitabu hususani vitabu vya shule ? Gharama ya ISBN ni shilling ngap za kitanzania? Muhusika mkuu wa kumilik ISBN ni mwandishi au mchapishaji?
Back
Top Bottom