Recent content by Said Seif

  1. S

    msaaadaa wenu jamani..

    Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kupata 4 ya 26 art kutokana na maisha yangu naomba mnishaur nisomee kitu gani ambacho kitakua na ajira baada tu ya kusoma na si kukaa nyumban....#maisha yetu nshaur#
  2. S

    Wana JF msaada wenu...

    Hivi kati ya Tourism and Tour Guide,Social Work,Human Resources na Industrial Relation kozi ipi ni nzuri na ipo kwenye soko la ajira.... Nisaidieni jamani kabla sijaamua vibayaaa
  3. S

    Msaada wenu ndugu zangu.....

    Nahitaji kusoma chuo cha Nairobi Institute Arusha course ya Tourism and Tour Guide.. Vp jaman chuo kinafaa na pia hii course inalipa.. Nisaidieni jamani kabla sijaenda chuoni.
  4. S

    Msaada wenu tafadhari...

    10x bi mkubwa na Alleyn
  5. S

    Msaada wenu tafadhari...

    mi nimemaliza 4m 4 mwaka jana na kupata div 4 ya 28 artist engl c,math f,hist d,kisw d,civics d,geo d,bio d. Je naweza pata nafasi vyuo vya kilimo/afya.... Au naomba mnitajie kozi zenye ajira ya haraka sababu ya maisha yangu..... Plz nisaidieni.
Back
Top Bottom