Recent content by Said kinyombe

  1. Said kinyombe

    Ni nini maana ya certified true copy

    Hakuna mahali portal wameeleza maana ya certified true copy kama ni coloured au ni black and white, swali langu lilikuwa hapo kwenye coloured ama ni black and white,
  2. Said kinyombe

    Ni nini maana ya certified true copy

    Sawa mkuu, ila Nina swali kwako ivi wewe unaamini degree inaweza kukufanya ufahamu kila kitu, wewe huwezi kuhitajia maarifa kwa darasa la saba? pia unaandika kama mtoto wa darasa la pili, baada ya "mimi" unasema mie, ni "aisee" na sio asee, ushauri wangu kwako hakuna mkamilifu mala kibao...
  3. Said kinyombe

    Ni nini maana ya certified true copy

    Google sio trusted source of information, kama kweli wewe ni msomi unafahamu hilo, na mbona hili swala ni la kijamii zaidi sio la kisomi ndio mana nimekuja kwenye jamii mnipe maelekezo, tatizo liko wapi apo
  4. Said kinyombe

    Kukosewa kwa daraja (class) cheti cha diploma

    Class (daraja), baada ya first class kimewekwa uper second
  5. Said kinyombe

    Ni nini maana ya certified true copy

    Mimi nishajazaga kitambo mkuu, Sema shida nilikuwa nataka kuhakiki kama nipo sahihi ama la, maana Kama wewe ni msomi ungejibu kisomi angalau basi kaka, usitangulize hisia zako mbele bila utashi, ni kweli hili swali lina uhusiano wowote na degree, like serious!
  6. Said kinyombe

    Ni nini maana ya certified true copy

    Mkuu ni kweli uliyoyasema apo yanatoka kwenye kinywa cha msomi? are you serious kwamba kutojua what is certified true copy ni tatizo, ukiwa kama msomi usiendeshwe na hisia mkuu jaribu kutumia elimu yako kupambazua mambo. But thank you for your thoughts
  7. Said kinyombe

    Ni nini maana ya certified true copy

    Mkuu samahani, ni kweli kuwa sipo sahihi kuuliza, maana mnanichangana, sifahamu certified true copy nataka kufahamu
  8. Said kinyombe

    Ni nini maana ya certified true copy

    Asante kwa kunielekeza mkuu, ila sijaona kosa kuuliza nisichofahamu, naamini moja ya jitihada Zangu kulifahamu na kuwa sahihi zaidi juu ya hili swala ni kuuliza kwa wanaofahamu, na ndio mana umenielewesha, ubalikiwe.
  9. Said kinyombe

    Ni nini maana ya certified true copy

    Tanzania wengi unaotuponza ni ujuaji, yaani kitu sifahamu ni mala yangu ya kwanza kukutana nacho nauliza nipate jawabu sahihi tena naonekana kindergarten,
  10. Said kinyombe

    Ni nini maana ya certified true copy

    Tatizo ni kuuliza nisichokifahamu ama tatizo langu nini apo mkuu, kitu sifahamu nataka nifahamu shida ipo wapi kiongozi
  11. Said kinyombe

    Kukosewa kwa daraja (class) cheti cha diploma

    Habari wakuu. Mimi cheti changu cha diploma kimekosewa, nimekirudisha kirekebishwe ila nimeomba kazi kupitia ajira portal je nikiitwa kwenye interview natakiwa niende na document gani mbadala wa hiko cheti nilichokirejesha kwa ajili ya marekebisho. Maana chuoni wananizungusha kwamba cheti bado...
  12. Said kinyombe

    Ni nini maana ya certified true copy

    Kwa mara nyingine tena ni mimi na mambo ya Ajira portal msinichoke. Wakuu ivi certified true copy ukiachana na kiwe na muhuri wa wakili, je inaweza kuwa hata black and white au ni lazima iwe colored. Ni mimi kijana wenu nawasilisha
  13. Said kinyombe

    Namna ya kujiandaa na interview za Serikali (ajira portal)

    Habari wadau, naomba niulize kwa aliyewahi kufanya interview za ajira portal, hususani hizi za MDAs kwa kada ya TOURISM OFFICER II maswali yake nitegemee yawe vipi kwa ile ya written na oral Asante nawasilisha
Back
Top Bottom