Issue kma hii imewah kunitokea kwa binti mmoja tulipendana sana na me ndo nlikuwa mwanaume wa kwanza kwake.... binti alikuwa deep sana kiroho baada ya muda akanza kuniambia anaona ukarbu wake na Mungu unapungua akawa anaona maono kuhusu maswala ya uzinzi baada ya muda kma wa miezi sita akaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.