Haijalishi,katiba ya chama inasemaje?,njaa mbaya sana inakufanya uwe mtumwa wa wenye nazo angalia sasa zzk msala umebaki kwake,msaliti lazima atengwe ikiwezekana ufukuzwe kabisa uanachama,huvi 14 days hazijaisha?
Haki ndo inatafutwa hapa ,mikoa ya kusini imesahauliwa sana kimaendeleo na serikali yetu ,wananchi wakunisini wanahitaji kusikilizwa ,na kikwete aliahidi wakati wa kampeni .za uraisi kuwa gas haitatoka mtwara,na ukumbuke nod walio mweka madarakani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.