Ama kwa hakika huu mtiririko una mashiko na unaweza aminisha watanzania/wafatiliaji wa mtandao huu wa kijamii,kua ni kweli hii ni nyumba/mtandao wa GT..
Inapendeza tukiwa na mwenendo kama huu kwa faida ya Taifa letu.
Mungu ibariki Tanzania..
Tuendelee GT.
Mara nyingi yamekua yakisemwa mengi,pengine ni kutokana na msukumo wa kimakundi kutokana na ukuaji wa chama ama vinginevyo.Watanzania wamekua wakiendelea kushuhudia mengi toka kwa wabunge wetu wa CHADEMA.
Swali la msingi ni kua,wapi wanaobeba sura ya uzalendo,ubinafsi wa umaarufu wao kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.