Recent content by SAFINA SALIMU

  1. S

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina katiba imemuengua

    Mwenezi ACT alitoa vifungu vinavyoonesha kuwa hana vigezo vya kugombe urahisi. Katika katiba ya ACT vifungu vifuatavyo vinamuengua 16(4)(I) Awe mwanachama wa ACT kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya tarehe ya mwisho ya uteuzi wa mgombea. 16(4)(iii) Awe tayari kutangaza mali binafsi na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Rais SAMIA SULUHU HASSAN chini ya uongozi wake wasanii waliopata nafasi ya kutumbuiza nje waliongezeka hadi kufikia 1,492 kutoka 122. Wasanii wa nje walipata nafasi ya kutumbuiza Tanzania pia kutoka wasanii 75 Hadi wasanii 623. Hii imesaidia kuongezeka kwa kipato kwa wasanii lakini na kuonesha...
Back
Top Bottom