Hivi jamanii wana wa forum Naomba niulize kitu kuhusu portal ya ajira maaana ni janga hili kwa vijana wengi,, kwanini mtu unakuwa na vigezo vyote lakn mfumo unagoma kuomba kazii? Utaweza kuta kozi yako ipo Kama kawa lkn haikubali kuapply..
Alafu pia kuna baadh ya kozi zinaingiliana mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.