Recent content by sadick lyamuya

  1. S

    Used subwoofer for sale

    Picha ya spiker ndo hyo kwa utaalam wenu mnaweza kujua ni wats ngapi kwan inakita balaa, mi mnipe tu 120000 yangu. Kwa muhitaj napatkana sinza white inn
  2. S

    Used subwoofer for sale

    Picha hizo mkuu
  3. S

    Used subwoofer for sale

    poleni wadau nmejaribu ku weka picha nmechemka, na watts cjui kwani nlnunua kwa matumizi ya kwenye gar na gar kwa ss nmeuza, ndio sabab nauza mali yangu. Ss cjui labda unichek whatsapp nkupatie picha… 0717149646 asanten!
  4. S

    Nataka kuwa wakala wa LUKU (TANESCO)

    Wadau naomba muongozo wenu kwani nataraji wiki ijayo mungu akijaalia uhai na afya niwe wakala wa luku tanesco. Msaada tafadhali njia za kufata, msingi na mengineo
  5. S

    Used subwoofer for sale

    Habari! Box ni XPLOID speakers ni PIONEER double Bei ni tsh 120,000 (negotiable) ipo ktk hali nzuri, Dar es salaam Kwa mawasiliano 0717149646 (tuma sms)
  6. S

    Nataka kuwa wakala wa LUKU (TANESCO)

    Habari za muda huu! kwa heshima na taadhima napenda kuleta wazo langu mezani ili nipate ufumbuzi au uwelewa wa kutosha kabla ya kutenda (survey). Mimi ni mwajiriwa ktk sekta binafsi nna wazo la kufungua ofisi ya uuzaji wa lishe (nafaka) na kuwa wakala wa uuzaji wa luku kupitia mashine za...
Back
Top Bottom