Jamani kwa uelewa wangu mtu mwenye post graduate diploma ni mtu mwenye degree tayari ila alikuwa ana ufaulu mdogo degree wa kuweza kuendelea na masters so ina mbidi asome post graduate diploma kubost qualification zake ili aendelee kusoma master....asante
Habari zenu wana jamvi.
Mimi ni mwanafunzi nime maliza diploma mwaka huu 2014 name nina nia ya kuendelea na masomo yangu na matokeo ya chuo nilicho maliza yako NACTE tayari ila kila nikifatilia huko NACTE naambiwa leo kesho kila siku wana tudanganya wataweka matokeo tumalizie application na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.