Kaka makadirio ya kodi nilishapewa ambayo ni 106000, wakati wanaendelea na process ndio kuulizwa kwanza ushahakiki tin ikawa bado ndio hapo mtoa huduma akasema ni lazima uhakiki kwanza na ili kuhakiki ulipe 150000 sababu muda umeisha
Habari wanajamii, leo alienda mtu nilimuagiza akakamilishe usajili niweze kupata leseni ya biashara niweze kuanza kazi kwani nimeshakodi fremu.
Nimepeleka picha ,mkataba wa pango, fomu niliojaza na vingine walivyohitaji, alipofika pale akahojiwa ili alipe kwanza kodi kabla ya kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.