Recent content by sabri18

  1. S

    Msaada: Nilitumia dawa za Malaria nikatokwa na malengelenge mwilini

    Wiki iliopita nilikua nasumbuliwa na mafua nikaenda kupima malaria nikawa nayo basi nikajiongeza nikaenda pharmacy nikanunua dawa metakeflin sijui ndo inaandikwa hivo haya Baada ya kumeza usiku asubuhi naamka mwili wote unawasha macho yamekua mekundu siku inayofuata ndo hali ya kuungua kwenye...
  2. S

    lg p920

    wana jf nisaidieni simu yangu button ya lock ukii click haifanyi kazi pia na sauti haitoki labda nikitaka kusikiliza music au simu ikiita hadi nitumie earphone msaada wenu wakuu
Back
Top Bottom