kwan nyie wakat mmeitwa kwe intaviu mlikua mmesaau yale mambo ya utumishi,akuna gen apo,kila ki2 ni kile kile,yan cku iz kila alieomba na akakiz vgezo hua anaitwa kwajil ya intaviu ili kuzuga kua watafanyia kaz mitian mliofanya,kwa kfup izo posts olready zna wenyewe, nyie mlikua mnacndkiza tu...