Recent content by saamwijumbe

  1. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza Uongozi wa Simba SC kwa mlichokifanya leo kwa Mchezaji Mpuuzi Clatous Chama

    Hujavijua vizuri hivi vilabunvya yanga na simba, yaliyotokea kwa fei lazima yalipwe kwa gharama yeyote,lakini pili jangwani wamemuuza mayele ili kubalance mzani kwa mashabiki lazima huyu mwamba nae aondoke kwenda yanga au kokote kule.
  2. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Huku ni kuwahujumu wanakamalia, anatakiwa kuchukuliwa kama muhujumu tu
  3. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ngumu sana sana na muda mwingine unaamini kweli mpira unamatokeo katili
  4. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii inakuwaje au gwala nao wanabonas hawaseme
  5. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    22B753E
  6. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio mbaya
  7. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni perfect kweli ila shida yao kubwa kwa sasa ni mbili moja ukiwa unabet hakikisha una maliza au uwe unacopy ulipo ishia vinginevyo unaanza upyaaaa, mpawa haushinde siku mbili unatengeneza mkeka haufutiki, pili timu ikishatoa yaani kama 1.5 over haipigi tiki mpaka mchezo uishe tofauti na mpawa...
  8. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    914AD9F bet power
  9. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Upo sahihi samtime tamaa nazo zinatupunza.
  10. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio mbaya mtaji umepatikana
  11. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tuanzie hapa nina shling ya mwisho ya kubetia nahitaji hela leo piga ua. 1. Yanga win sina shaka 2. Man city win 3. Napoli win 4. Psg win 5. Bayer win japo tia tia maji 6. Celtic win Hata tukiwawekea magoli hawa sawa pia niwekee mwingine
  12. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    http://www.sportybet.com?shareCode=962642&c=tz
  13. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    5CC3981
  14. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Swala la mnyama wydad ili kufuzu anahitaji goli 2 bila kama unaamini mnyama atapata goli acha kushinda basi wydad anahitaji goli 3 plus 1 la simba 4 kwahiyo weka tu over 4.5 inatoa
  15. saamwijumbe

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Chombo inatembea speed
Back
Top Bottom