Recent content by Saaly

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

    Kwani nimekufanya nini? Maana sielewi?
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

    Hahahaaaaa hata mimi kabla ya kuwa na huyu nilipitia huko huko, mateso ya moyo makali mno. Hata mwanzo nilikuwa naona kama naota.
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

    Sasa mnachohisi hakiwezekani ni nini?
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

    Mpendwa nashukuru, hakuna alie msafi ila inapotokea wa kukukemea hivi ni heri. Asante sana.
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

    Hapana, ila mlivyopanik ni kama ndicho mnachowaza. Hebu pumueni jamani haya mambo yanawezekana.
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

    Sasa kaleta mwingine wa nini? Au ndio tuone hatupendwi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Saaly sijapenda. Ngoja nimjibie maana dada unaonekana imekuuma kweli.
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

    Nashindwa kuipokea hongera maana nafsi haina amani.
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

    Hadi wanaume kweli? Haiwezekani. Hapa ndio nawaza maybe nisikubali nyumba na viwanja vya Morogoro.
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

    Mimi sijui to be honest, maybe ni mtoaji tu by nature maana hata kwa ndugu zake yuko hivyo hivyo.
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

    Siujui hata mlango wa mganga mimi.
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

    Niliandika kwa kifupi sana as sikuwa na muda wa kutosha kuandika in details, na waliocoment walitaka details. Ndio maana nimeleta details. Mbona umeandika kwa hasira sana bibie? Kwema?
Back
Top Bottom