SOMO LA KWANZA
MAANA YA GRAFTING NA BUDDING
Grafting na buddinging ni maneno ya kiingereza ambayo kwa lugha ya kiswahili ni 'kupandikiza'. Kwenye somo letu ni sawa na kusema 'kupandikiza mche' ikiwa na maana ya miche miwili yenye sifa bora tofauti (mmoja ukiwa na sifa ya ubora au uimara wa...
[emoji271]Grafting na budding ni mbinu za bustani (Horticultural techniques) ambazo zinatumika kuunganisha sehemu za mimea miwili au zaidi ili zikue kama mmea mmoja.
[emoji271] Vyanzo mbalimbali vinaelezea nyanja mbalimbali za utofauti wa mbinu hizi mbili mfana kwenye nyanja za uimara, ubora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.