Recent content by s-jojo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya kenchi na bati

    Naimani ukijenga kwa kutoepuka gharama basi haitavuja. ( mfano kuweka waterproof au "kuzungushia kofia ya bati pembezoni mwa ukuta. (sijui inaitwaje kilunga ya ufundi ):D mengine unamuachia mungu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya kenchi na bati

    Fundi anasema atafunga mbao Alafu atakadiria mabati. Ili nisipate hasara ya kununua mabati zaidi ya inavyotakiwa. Upande mwengine nahofia kuweka mbao Alf nikachelewa kupata mabati . Mbao zitapinda kwasababu ya jua au mvua.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya kenchi na bati

    Natumaini hii itakua na afadhali.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya kenchi na bati

    Salaam wakuu, Naambatisha hapa picha ya ramani ya paa( hiddenroof) naomba wataalamu wetu wanisaidie kunipa makadirio ya idadi ya bao na mabati inayohitajika ya hiii nyumba. Ikiwezekana pia makadirio ya ujenzi kiujumla ya kumaliza paa. Nawashukuru sana na mbarikiwe.
Back
Top Bottom