Recent content by Ryunus

  1. R

    Maana ya CPT kwa waliopangiwa college

    Wanajamii ninachopenda kuwafahamisha ni kuwa, kwa wale wanafunzi waliopangiwa chuo na wakaandikiwa CPT, sio computer science wala engineering bali inaamanisha ni COLLEGE PLACEMENT TEST ambayo mwanachuo wataifanya chuoni ili kupimwa uwezo wao wa kufikiri, kusoma na uwezo wa mathematics alafu...
Back
Top Bottom