Recent content by Ryder2

  1. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Shida inakuja vyuo vingine vya diploma huwezi Kuta vyeti vyao vimeandikwa "degree class" wakati ni muhitimu wa Diploma labda Udom watoe tamko kama ni sawa kuandikwa hivyo nitakubali.
  2. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Huku ni kuchezeana akili kabisa na Kuna wahanga wengi sana ila wamejikausha wanasubiri muujiza
  3. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Na tatizo unakuta hata hayo marekebisho watakayosema unakuta yanchukua tena hata miezi kadhaa kama sio mwaka mzma.
  4. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Hapa na wanafunzi wengi hata kulalamika hawawezi wapo kama midoli tu.
  5. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Nashangaa why jambo kama hili linatokeaji tahasisi kubwa hivi ?
  6. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Kweli kabisa mkuu hali hii haikubaliki cheti kukosewa kinashusha heshima Kwa chuo ina maana hakuna ufatiliaji
  7. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Hapa inabidi suluhu ipatikane mkuu hasa Kwa chuo maana watakosea mpaka lini inamaana na graduates wajao nao itajirudia tena
  8. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Lakini why tatizo wanalichukulia kawaida maana litaleta shida kwenye kujiendeleza na kazi lakini wahitimu wengine kimya
  9. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Hapa unaweza Kuta hata interview za kazi uitwi kisa chet hakieleweki
  10. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Mkuu lakini chuo inabidi kirekebishe wakiacha wataendelea kukosea Kila kundi la wahitimu
  11. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    inabidi walifanyie kazi shida inaonekana ipo kweny system mkuu
  12. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Hapo Kwa makosa hayo sidhani kama cheti kitakubaliwa mkuu
  13. Ryder2

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDOM Academic transcript mnazozitoa kwa wahitimu wa DIPLOMA zimekosewa kwa kuandikwa "Degree classification"

    Habari zenu wana jf! natumai ni wazima wa afya. Nimejikuta muhanga katika changamoto hii iliyojitokeza kwa wahitimu wa mwaka wa masomo 2023/2024 kwani vyeti vya matokeo( academic tanscript) kwa wahitimu wa DIPLOMA vimekosewa kwenye sehemu ya classification kwa kuandikwa "Degree Classification"...
  14. Ryder2

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuacha kutumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo

    Sawa nakucheki
Back
Top Bottom