Recent content by Rweumbiza

  1. R

    Chaguzi Ndogo Tatu 2012 ni Dhahiri

    Sasahivi inaenda kwa chadema. Kwa ishu zao za ukabila na kulisishana uwenyekiti ka utawala wa kifalme lazima kiwa cost. Chadema wahasisi wao wakina Mtei na Makani ndio wanapanga nani apewe uongozi na nani asipewe. Hebu angalia historia ya uwenyekiti wa chadema alianza Edwin mtei akaja akamuachia...
  2. R

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Kafulila awe mwana harakati, hujue ukileta harakati zako kwenye siasa mwisho wa siku, unaambulia kufukuzwa kwa mbwa kaingia msikitini. Hujue siku zote mwana harakati huwa anaamini na kusimamia mawazo yake na huwa haamini mawazo ya mtu mwengine. So kafulila kwa staili yako kila chama utafukuzwa.
Back
Top Bottom