Recent content by Rututyo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Sababu Za Mwanaume Kuwa Na Wanawake Wengi

    Siku moja uwe mwanaume ndo utajua sio umalaya. Sex kwa mwanamke ipo kwa ajili ya kuzaa tu. Ndiyo maana wanakuwa na hamm wakati yai limepevuka. Wakati mwine wowote ni umalaya wa mwanamke ndio utamsukuma kwenye sex. Lakini mwanaume aliumbwa kuwa tayari muda wote na anapopata tendo la ndoa ndio...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

    Hama mkoa kama shughuli zako zinaruhusu. Then kata mawasiliano nae. Jizoeze kufanya vitu vingine. Jitibu majeraha then uta move kivingine. Utapopata mpya ridhika ktk njia ya kiroho. Sali sana kwa dhebu lolote ulilonalo na mtegemee Mungu. Mungu hajawahi shindwa.
Back
Top Bottom