Recent content by russianrourette80

  1. R

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Hii ndio typing yangu ya mwisho kufunga mjadala.. Sina njia ya kufanya mtu aamini, kama ni chai Mungu ndio anajua ukweli wa maisha ya mtu. Siwezi kulazimisha kila mtu aamini. Na pia siwezi kuweka kila kitu hadharani.. kama ni maoni na ushauri nimeshapata vya kutosha. Nitakaa kwa utulivu...
  2. R

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Sio kweli.. wewe tu ndio hujafuatwa.. waulize wafanyabiashara wakubwa watakueleza.. kama una mzunguko wewe ni lulu kwa bank watakunyenyekea na kukufata..
  3. R

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Nilianza biashara mpya kwa sababu ile pesa baada ya kuingia ilifanyiwa mgawanyo kwa wadau walio husika.. na mimi ndio nilikua nina jukumu la kuirejesha yote bank pamoja na interest zake.. hivyo tayari ile principle amount niliyopewa na bank ilikua imepungua kwa kiasi kikubwa.. ndio maana katika...
  4. R

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Dada... sio kila mtu ni malaya.. sio kila mtu yupo kama unavyo mfikiria.. wewe omba yasikukute. Hayo mengine tuyaache kama yalivyo
  5. R

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Ofcourse watu wa bank walikula % kadhaa, wenye nyumba nao walikula % kadhaa.. wakati ule wa kikwete, kila kitu kilikua kinawezekana.
  6. R

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Niliitiwa dhahabu huko nikaambiwa niende na pesa cash.. wenyeji wangu ndio waliniuza, baada ya kukamilisha biashara na kuanza safari kurejea nchini.. tukavamiwa na watu. Wakachukua kila kitu tulichokuwa nacho. Ule mzigo ulikua na thamani ya usd 1m.. Actually mambo ni mengi sana yaliyo tokea...
  7. R

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Inawezekana vizuri tu.. bank haiuzi nyumba ya mtu bila kufungua kesi. Na kama mwenye nyumba hiyo akiwa na utetezi wenye mashiko.. hiyo nyumba haiwezi uzika.. mfano labda kama alinipa nikopee bila kushirikisha familia yake.. na familia yake ndio ikaweka pingamizi kuuzika kwa nyumba hiyo.. bank...
  8. R

  9. R

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Narudia tena kusema asanteni kwa maoni na ushauri wenu. Bado naendelea kutafakari njia kadhaa ambazo wadau wametoa huku. Wengine ni waungwana wameshanifata pm nakunipa pole na kunielekeza cha kufanya. Asanteni sana kwa ujumla.. Ipo siku nitakuja kutoa mrejesho wa namna nilivyo jinusuru kwenye...
  10. R

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Wadau asanteni kwa ushauri.. Wanaofikiria hii ni chai, poleni sana. Hamna uzoefu na biashara za kariakoo.. labda nikupe dokezo kidogo.. kontena moja la spares kutoka Dubai au china linaweza kuwa na thamani ya milion 100 mpaka milion 200... sasa kwa mwezi nilikua naweza kuuza mpaka kontena 5 za...
  11. R

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Wewe ndio unaona chai, lakini ni story ya ukweli na kila kitu kinawezekana chini ya jua.. sina namna ya kukuaminisha. Sijaja hapa kujitapa ninachotaka ni ushauri na nashukuru Mungu wengi wamenishauri niondoke Tz.. hakuna sehemu ya faraja zaidi ya JF..
  12. R

    Nadaiwa Bilioni 4 benki, sina kitu hali iliniendea vibaya. Naomba ushauri

    Inawezekana sana tu na inafanyika.. inaitwa Third party mortgaging .. uliza bank yako watakuelezea zaidi how to
Back
Top Bottom