Recent content by rushubilwa

  1. R

    Purchase Officer, Sales and Marketing Managers, IT Specialist wanahitajika haraka,

    naona e-mail yako imekosewa kwani natuma email ina fail.
  2. R

    Nafasi ya kazi, mwenye kuguswa tuwasiliane

    wewe kama sikosei una akili nzuri, usipende kumkatisha tamaa mwenzio, haya ni maisha...Uwezi jua ya Mungu kaka,anaweza kukushusha mwenzio akampandisha, so jirekebishe kaka..Mwenzio hali imekuwa mbaya thats why amejiweka wazi,Muogope Mungu.
  3. R

    Princess Cruise ni kampuni ya uhakika?

    Princess Cruise Company To Me Sep 5 at 8:58 AM Hi, Your CV has been received and its been reviewed. You will be contacted if the personnel department of the cruise line company assess your resume positively. For the time been you will be furnished with in...
  4. R

    Princess Cruise ni kampuni ya uhakika?

    Ili kuepusha kilio ndo nikaomba msaada mapema mh.
  5. R

    Princess Cruise ni kampuni ya uhakika?

    wakihitaji chochote niwape una maana gani?
  6. R

    Princess Cruise ni kampuni ya uhakika?

    Ni kweli kabisa ni 'Internationally recognised group of companies'. Tatizo kuna watu wanaweza kutumia jina lao kuwaibia watu,ndo ninacho hofia.
  7. R

    Princess Cruise ni kampuni ya uhakika?

    tatizo kama ningeweka kichwa cha habari kiakisi maudhui ya ujumbe sijui kama ungesoma wewe. Haya mh tunaitaji nsaada wako kama unawajua
  8. R

    Princess Cruise ni kampuni ya uhakika?

    wanadai wako Canada na USA,huwa wasumbuaga mwishoni...wanasemaga tuma ela ya kushugulikia work permit,ila kwa hawa sijajua.
  9. R

    Princess Cruise ni kampuni ya uhakika?

    Jamani naomba kuuliza kuhusu hawa (Princess Cruise Company). Siku kama nne niliona nafasi za kazi hapa hapa,nikatuma maombi. Baada ya siku nikajibiwa na kutumiwa maswali (applicants questionnaire). Je, hawa ni moja wa matapeli au inakuwaje? Kama kuna mtu anawajua vizuri naomba atueleze.
Back
Top Bottom