kujiajiri unadhani ni kazi rahisi kihivyo hiyo mitaji utaipata wapi? wafanyabiashara wenyewe wanafanya na familia zao sasa mie mtoto wa mlalahoi nitaenda wapi bora hata ningekuwa mtroto wa mkulima ningejiunga na kilimo kwanza sasa hata shamba sina, du hii ni noma.
tutatafuta tu hao wakutupromoti maana siku hizi ajira kama muziki wa kizazi kipya lazima uwe na promota tena zaidi ya mmoja
.:yawn:
TANZANIA BILA AJIRA INAWEZEKANA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.