Recent content by rufferoo1

  1. R

    Je! inaruhusiwa kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuingia kwenye 'UE' bila kujua course-works zao?

    Ur answer here wasnt helping atall swala la mm kujua kingereza halihusiani kabsa mkuu na nilichokiuliza, hapa pia kuna regulations as well kama hukuwa na nia ya kujibu cyoni kama nisahihi ulivyojibu cz hujanisaidia chochote zaidi ya kutaka kuniprovoke mzazi kapongoliso
  2. R

    Je! inaruhusiwa kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuingia kwenye 'UE' bila kujua course-works zao?

    Nashkuru mkuu lkn nimeuliza hvyo kwasababu kwa chuo chetu hiki ndicho kilichotokea na mpaka sasa tukiwa tunafanya UE ya masomo yote saba ni masomo mawili tu ambayo course works zake zimetoka na wanafunzi tumesign lkn matano mengine mpaka leo hakuna tuliyoona wala kusign.
  3. R

    Je! inaruhusiwa kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuingia kwenye 'UE' bila kujua course-works zao?

    Habari zenu wakuu! Nina swali dogo tu nataka kujua. Hivi kweli ni sahihi na inaruhusiwa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuingia kwenye mitihani yao ya UE bila kujua course works zao? Inaruhusiwa kutokana na sheria za chuo ama?
Back
Top Bottom