Recent content by rubylove

  1. rubylove

    Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    hahhaaa ,kwa hiyo kuolewa ndo usimjibu mtu, akija vibaya anajibiwa tu
  2. rubylove

    Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    unamjua???
  3. rubylove

    Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    na kaa ukisubiri umaarufu nlokuwa nautafuta,loh
  4. rubylove

    Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    haya wee subiria sinema, chukua na kiti ukae kabisa.....
  5. rubylove

    Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    ,asante naamini mungu ni mwwma,na nilivumilia vichambo vyote vya humu, mungu awabariki
  6. rubylove

    Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    shukrani mkuu naamini na kwetu pia itawezekana..
  7. rubylove

    Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    haya bana asante
  8. rubylove

    Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    asante sana kwa ushauri ila nimefanya uchunguzi wa kutosha na kujuana pia
  9. rubylove

    Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    hahahaaa, siko hivyo na kama nimekuuthi niwie radhi
  10. rubylove

    Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    usiwe na preasure, omba mungu uendelee kuishi
  11. rubylove

    Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    sijakasirika shem
Back
Top Bottom