Recent content by Rubina

  1. Rubina

    Mwigulu, Society and Useless PhDs

    Hata mi nakubali. Hii ni kati ya makala bora kabisa nilizowahi kuzisoma hapa JF. Hadi imefanya nikomenti yaani. Nakubaliana na goodluck5 kwamba hii yote ni kwa sababu ya kulamba asali tu. Pia hoja ya mtoa mada kwamba Nyerere ndiye aliyekuwa msomi mashuhuri na mzalendo kindakindaki lakini...
  2. Rubina

    Tafakuri ya Uzalendo: Tanzania na Fumbo la "Uzalendo-pofu"

    Jamani kumbe Tanzania tuna vichwa vimetulia tu. Hili andiko ni kiboko! Halafu mbona maada kama hizi wale wachambuzi nguli kina Paschal Mayala na wengine huwa hawagusi? Kaka Paskali, njoo huku unaitwaa :)
  3. Rubina

    Tundu Lissu: A politician and a philosopher

    I loved this analysis thank you, Nietsche. Tundu Lissu jamani, Mungu akujalie uikoe nchi hii inayoporomokea shimoni kila siku.
  4. Rubina

    Majigambo ya Mtoto wa Rais na 'Precedents' za Viongozi Watangulizi

    They are so cruel! Yaani hata hayaoni aibu?! Hii nchi bora hata nifanye nihame tu kwakweli. Dalili mbaya hizi.
  5. Rubina

    Lowassa: The humble man, the scapegoat & the wild card - why I think he will Win The Presidency

    Wow! I like it.. I hope UKAWA is listening. Mkuu Nietzsche nakukubali! :hug:
  6. Rubina

    Tusipokuwa Makini, Yaliyotokea Nchini Ugiriki Yatatokea Hata Kwetu!

    This is economics 101 right there! Ndiyo maana baadhi hapa wanashindwa kuelewa. Kaka yangu keep up the good work ya kuwaelewesha watu wanaohitaji maendeleo wala usibabaishwe na matusi ya maccm hao. Hao tumewazoea na dawa yao iko INAPIKWA ICC!! Sisi Watanzania we are behind you! xx Ruby
  7. Rubina

    Lowassa: The humble man, the scapegoat & the wild card - why I think he will Win The Presidency

    Wow! Everything is coming out now!! Asante mkuu. Mwaka huu mpaka watatuelewa tu kuwa hii ni nchi yetu sote!!
Back
Top Bottom