Wakuu nauza Nta (Beeswax) inayopatikana baada ya kuchakata asali ya nyuki wakubwa.
Nta iko vizuri niya Mwaka huu.
Niko Tabora, niko na Tani moja, ila kama utahitaji zaidi uwezekano upo wa kupata zaidi ya hapo.
1kg nauza 13,000/=.
Kama wewe ni mnunuzi au wafahamu Mnunuzi please Njoo inbox...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.