Recent content by Rosiela

  1. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Thank you,but God has been faithful
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nina Virusi vya UKIMWI ila naogopa kumwambia mume wangu maana yeye yupo salama

    Pole sana sana sana..ongea na Mungu kama ni muombaji. Mungu wetu ni mwaminifu mno,anatuwazia yaliyo mema haijalishi wengine watawaza nini. Kuna wenye cancer inawatafuna kila siku, covid 19 wako wanapumulia mashine. Pengine sisi tunaojiona wazima tunaweza kuondoka duniani kwa ajali au chochote...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Asante nilishafanya na kukubali kuanza upya. Maisha yangu yalikuwa hatarini. Chochote kinachotishia uhai wako si cha kukifumbia macho. Kwangu ilitosha.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Nashukuru sana..nilisha move on muda mrefu na sijawahi kunyanyapaa single mother tena raha sana kuishi bila kuulizwa na kuudhiwa😄 japo yeye bado ananifanyia visa vya mbalimbali na distance yote.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    1. Sijawahi ku cheat kabisa ila niliwahi kuwa mjinga kukubaliana na tabia zake zote za ajabu nikiamini atabadilika 2. Ndio nilijaliwa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Okay..its unfortunate I can not go further disclosing conversations and images as it is already a case closed. Thank you anyways🙏
  7. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Thank you
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

    Pole sana kaka. Mimi ninaeielekea I am so positive about it. Kwanini? Sababu kuna makosa hata tukiwasamehe watu,they will keep on doing it over and over again. Stay focused,inaumiza sana hata mimi napitia maswali magumu sana kwa situation yangu but uzima na amani ya moyo ni muhimu kuliko...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Nashukuru sana japo nilishathibitisha yeye kuzini nje..dharau iliongezeka na vipigo. Nipo tayari kwenye mchakato wa divorce na sihitaji ndoa tena maishani mwangu. Pole sana kwa changamoto the world is full of surprises,POLE
  10. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Ni moja ya sababu kubwa ukiacha zingine hio
  11. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Nilishafanya jitihada zote huko. I have decided already to live not to die
  12. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Nashukuru sana
  13. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Nimeshindwa kumuelewa hapa. Sheria tu/dresscode hairuhusu.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    Aisee kaka..laiti ungejua. Ila naomba uamini unavyojiskia tu..ila umeongea from your point of view. Kwahio niende na madira ofisini?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Am I wrong if I process divorce?

    🤣🤣
Back
Top Bottom