Mzee wa vanderlists who are doing the vanderlism. Hata lile tamko la kimchongo la kukanusha maandamano liliandikwa na chatGPT. Tamko lina mpaka “in conclusion”😂😂
Yaaani kila siku ni uonho juu ya uongo. Hata ikitokea kwa bahati mbaya wakisema ukweli hatuwezi kuwaamini tena.
Tunataka watorodhoshee hivyo vituo mia sita na ofisi za serikali. Wanasahau kuwa wananchi ndo tupo ground!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.