Recent content by ropetojo

  1. R

    Mapenzi ni mtihani

    BINADAMU NI MTIHANI, MAPENZI TUNAYASINGIZIA SABABU NI LAZIMA BINADAMU WAKUTANE. Fikiri juu ya marafiki walioanza pamoja biashara kisha baada ya mafanikio makubwa wakadhulumiana au hata mmoja kumuua mwingine, jumlisha na matukio mengi mchanganyiko, utanielewa. Napita.
  2. R

    Wanawake huwa wanapenda kitu gani kwa wanaume?

    Yaaah! Umewaza ukawazua, mi naona upo sahihi kuliko. manakuna wenye pesa waliopendewa pesa bad o wanaibiwa na wasio na pesa.
Back
Top Bottom