Recent content by ronsoti kati

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengenezea mifuko mbadala

    Asante sana kwa ushauri Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengenezea mifuko mbadala

    Nashukuru kwa ushauri ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kutengenezea mifuko mbadala

    Habari ndugu zangu kwa pilikalilika za kutwa nzima ,nimevutiwa na ujasiliamali hivyo nikaona bora niingie katika suala la ujasiliamali. Ndugu zangu naomba msaada kwa mtu yeyote anayefahamu mashine ya kutengenezea mifuko mbadala inapatikana wapi,na inauzwa sh ngapi .Natanguliza shukrani Sent...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hii ya makato ya VAT inakuaje?

    Inategemea mtu aliyekuandikia risiti hawezi kuzitofautisha kwa kila items katika risiti moja ila akaamua kutoa kila item na risiti yake ,mwisho wa siku ukijumulisha total amount inakuja sawa na uliyotoa mkuu.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Fursa gani zinapatikana mkoa wa Kigoma

    Inaonekana hali ya kiusalama hailidhishi
  6. R

    JamiiForums Tanzania Fursa gani zinapatikana mkoa wa Kigoma

    Asante sana
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wateja wapo wengi, Ongeza thamani ya kitu unachotaka kukiuza kabla hujakitangaza kukiuza

    Shukran sana kwa maelezo uliyoyatoa nimekuelewa sana
  8. R

    JamiiForums Tanzania Fursa gani zinapatikana mkoa wa Kigoma

    Nataka nihamie kwa shughuri za kibiashara
  9. R

    JamiiForums Tanzania Fursa gani zinapatikana mkoa wa Kigoma

    Dagaa hizo zinapatikana kwa wingi huko
  10. R

    JamiiForums Tanzania Fursa gani zinapatikana mkoa wa Kigoma

    Ndugu zangu naombeni kunifahamisha fursa inayopatikana mkoa wa kigoma kwa wenyeji wa mkoa huo hasa wilaya ya kibondo ,nataka nihamie kigoma .Natanguliza shukran.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa fursa za biashara zinazopatikana Kahama

    Habari ya muda huu ndugu zangu,samahani napenda kuuliza kwa wakazi wa kigoma au mtu yeyote anayeifahamu kigoma hasa maeneo ya wilaya ya kibondo ni fursa gani inapatikana kule,? Asanteni sana
Back
Top Bottom