Recent content by Romio

  1. R

    JamiiForums Kwa hali hii TCU kuna haja ya kujitathimini upya

    Nafkiri ujaelewa dhima yangu kubwa kwenye hayo malalamiko Sisemi cut off point nikubwa la hasha! What I mean is that two people compete and the winner is not actually the winner but the looser cjui unanielewa maana nyinyi kazi kukurupuka tu!!
  2. R

    JamiiForums Kwa hali hii TCU kuna haja ya kujitathimini upya

    Na ndio maana nikasema waangaliwe hawa wanashindanishwa na watu waliowapita ambao D na C ya kipindi hiko ni Sawa na E yao!
  3. R

    JamiiForums Kwa hali hii TCU kuna haja ya kujitathimini upya

    Unafikiri ulilalamika vya kutosha?? Mbna diploma mwanzo waliwekewa GPA ya 3.5 na malalamiko yao yalipelekea ikashushwa mpaka 3.0
  4. R

    JamiiForums Kwa hali hii TCU kuna haja ya kujitathimini upya

    Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa baraza la taifa la necta na TCU kwa kazi wanayofanya. Matokeo ya kidato cha sita yametoka na TCU wameshikilia msimamo wao wa minimum entry requirements ni at least two principal pass zenye point 4.0 Hii ni kwa wote wa mwaka huu na miaka iliyopita. Mfumo huu...
Back
Top Bottom