habari wadau!
siku hizi mambo ya michepuko ya mepamba moto sana,unakuta mtu ameoa ndoa hajamaliza hata mwaka lakini unakuta ana michepuko kibao,wakati mwingine tabia hiyo hupelekea hata ndoa kuvunjika mapema sana,kwa nini mwanaume uchepuke?binafsi nadhani sababu ni kuoa mwanamke mbaya ambaye...
Habari wakuu!
gari inauzwa 2,5million Toyota Corola iko fresh kabisa haina tatizol lolote kwa yoyote mwenye shida na usafiri gari hiyo ipo awahi mapema aje kuchukua kwa maelezo zaidi piga au tuma txt kwenye namba hii +255673269820.
habari!
je unamiliki biashara yoyote hata kama ndogo iwe ya duka la madawa,duka la nguo au biashara yoyote ile,sasa tunatoa offer ya mwisho wa mwaka kwako tunakutengenezea website yako kuanzia TSh,70000/=,nakuedelea kulingana na mahitaji ya biashara yako,kwa mawasiliano zaidi tuma txt kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.