Recent content by Romarts

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kisasa inauzwa ununio

    Nyumba imejengwa siku za karibuni (mpya). Ipo Ununio umbali wa kilometa tisa kutoka Mbuyuni (Njia panda ya kwenda Kunduchi), kwenye eneo lililopimwa na lililosheheni nyumba za kisasa. Nyumba hii ina vyumba vikubwa vitatu vya kulala (vyote self-contained - vina choo cha kisasa, bafu na makabati...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bungalow for sale at ununio

    This is a newly built residential mansion constructed at high standard of workmanship and specifications. It is located at Ununio, an emerging posh residential neighborhood. The bungalow provides approximately 200 square metre of living space. Accommodation includes three self contained...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Eneo la eka moja linauzwa shilingi milioni 15

    Direction
  4. R

    JamiiForums Tanzania Eneo la eka moja linauzwa shilingi milioni 15

    Naambatanisha details zaidi pamoja na picha
  5. R

    JamiiForums Tanzania Eneo la eka moja linauzwa shilingi milioni 15

    Lipo vikawe (Wilaya ya Kibaha) karibu kabisa na barabara inayotarajiwa kujengwa siku za karibuni kuunganisha barabara za Morogoro na Bagamoyo. Bomba kubwa la maji litapita karibu na na hapo. Eneo kwa ajili ya kupitisha miundo mbinu hiyo (bomba la maji na barabara) limeshatwaliwa. Kwa sasa ipo...
Back
Top Bottom