JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania
Namuhitaji COUGAR.
Wapo waliokuja pm from day one, ila sikuwaelewa kabisa.
Nadhani wengi wao, wamekuja kwa attention ya kuninunua. Yaani wanataka tukulane then wanipe mkwanja. Ila mimi sipo huko, ninachokitafuta ni mapenzi ya dhati ili nitulize moyo na akili, na wala sio pesa.
Naomba niweke wazi tena, kwamba...