Recent content by Rogers Paul

  1. Rogers Paul

    Majanga: Tanzania yaburuzwa Mahakama ya Usuluhishi kwa kuvunja Mkataba wa Mradi uliokuwa ufanyike Bagamoyo

    yote hayo yanayo mwisho wake. . . Mungu atataipigania nchi yetu
  2. Rogers Paul

    Kibiti: Watanzania tuwe na amani, hali shwari sasa Kibiti

    hahaha hata woman anaweza pia. . .jipange 2
  3. Rogers Paul

    Kibiti: Watanzania tuwe na amani, hali shwari sasa Kibiti

    nani akupe? sidhani kama mtoa post ni Polisi. . . .
  4. Rogers Paul

    Kibiti: Watanzania tuwe na amani, hali shwari sasa Kibiti

    sniper ataerudi mzigoni labda amwe ndio wewe unaejiita MBITIYAZA, ila wewe watakunyoosha 2 kama kakaako Rashid Kapela
  5. Rogers Paul

    Kibiti: Watanzania tuwe na amani, hali shwari sasa Kibiti

    hahahah usiwasemee wenzio kwamba nao wanasali. Uhakika huo hauna
  6. Rogers Paul

    Kibiti: Watanzania tuwe na amani, hali shwari sasa Kibiti

    relini huko utagongwa. . . .inapita treni tu
  7. Rogers Paul

    Kibiti: Watanzania tuwe na amani, hali shwari sasa Kibiti

    hahahah acha kujishtukia, aliekutoa kwenye reli nani sasa hapo. . . .watu buana cjui umekula maharage ya wapi wewe
  8. Rogers Paul

    Kibiti: Watanzania tuwe na amani, hali shwari sasa Kibiti

    Killer has been killed. . . .DONE!!! Kama nawaona washirika wake vili walivokua na kiteteeee
  9. Rogers Paul

    Kushambuliwa kwa Tundu Lissu, Polisi wapata Video za CCTV

    vyombo vya dola tumevipa madaraka wenyewe yatupasa kuviamini. Wacha vifanye kazi yake. . . .maneno maneno ya nini? Pigeni kazi tu, majibu mbona yatapatikana tu.
  10. Rogers Paul

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    kilichobaki ni kila mtu afunge domo lake tusubirie alienusurika kufa apone na aje kusema lolote. Wengine wote ni tunaropoka 2. . . .kila mtu na speculation zake ambazo ni kama kubahatisha tu ila ukweli upo. Tusubirie muhusika atasema lolote 2
  11. Rogers Paul

    IGP Simon Sirro azungumzia kuhusu Kibiti, kutekwa watoto na shambulio la Lissu na ofisi za IMMMA

    hahaha bonge point, kama wameshikiwa akili zao vile
  12. Rogers Paul

    IGP Simon Sirro azungumzia kuhusu Kibiti, kutekwa watoto na shambulio la Lissu na ofisi za IMMMA

    kweli kabisa. . . wacha watu wafanye kazi yao bana
  13. Rogers Paul

    IGP Simon Sirro azungumzia kuhusu Kibiti, kutekwa watoto na shambulio la Lissu na ofisi za IMMMA

    uzuri ni kwamba ukweli uko pale pale na utabainika tu
  14. Rogers Paul

    IGP Simon Sirro azungumzia kuhusu Kibiti, kutekwa watoto na shambulio la Lissu na ofisi za IMMMA

    HAKUNA. . .taarifa za ukweli ndio zinazohitajika
Back
Top Bottom