Recent content by Rogate

  1. Rogate

    JamiiForums Tanzania Kwa matusi haya Nape hastahili kuwa kiongozi

    Werevu wakinyamaza ujinga unakomaa na kuwa wapumbavu. Huyu kijana kanyamaziwa ndio maana amepanda daraja..
  2. Rogate

    JamiiForums Tanzania Mbatia atofautiana na Lowassa

    tukutane oct 25 vichinjio na vikatio vipo tayari
  3. Rogate

    JamiiForums Tanzania Vyama vyote vya upinzani katika nchi za kiafrika siyo vya kuaminika

    Online polling mbali mbali zinaonyesha Lowasa ana 80plus dhidi ya 20plus za magufuli hii inamaana wanaopata taarifa wamekataa kudanganyika. Tar 25 wote tukapige kura tuone tumebaki na asilimia ngapi ya wanaokubali kudanganywa na ccm.
  4. Rogate

    JamiiForums Tanzania Vyama vyote vya upinzani katika nchi za kiafrika siyo vya kuaminika

    Unaweza kudanganya baadhi ya watu kwa muda lakini huwezi danganya watu wote siku zote. Utajiri na mali ghafi iliyopo tanzania sio sawa na maendeleo yanayoonekana. Tulitakiwa kuwa na barabara za njia sita hadi nane, flyovers, huduma za afya, elimu bora na za uhakika. Ccm imetudanganya kasungura...
  5. Rogate

    JamiiForums Tanzania Vijana tusishikiwe akili

    Kuna msemo wa werevu flani unasema "unaweza kuwadanganya baadhi ya watu kwa muda lakini huwezi kudanganya watu wote siku zote " werevu hawa wanamaanisha upo mwisho wa kudanganyika. Unaweza kuwa leo unaweza kuwa kesho ila mwisho upo. Ccm wanasema wanategema kura za vijijini inamaana kwa muda...
  6. Rogate

    JamiiForums Tanzania Star TV Habari vs ITV Habari, Waandishi Toweni Tathimini

    Kazi ipo mwaka huu, wananchi wanataka mabadiliko ccm inaweza maboresho
  7. Rogate

    JamiiForums Tanzania Namna ya kukunja karatasi ya kura

    Pombe mwisho baa. Mabadiliko nilazima
  8. Rogate

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Mabadiliko ni lazima hakuna namna nyingine
  9. Rogate

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu imetoa siku 14 Mwanasheria Mkuu atoe ufafanuzi kuhusu mapingamizi ya CyberLaw

    Naona wanashetia sasa wameamka nakufanya kazi zinazowapasa. Big up you have done justice to your professional.
  10. Rogate

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Rais Jakaya Kikwete? Mbona hekaheka

    Rais tunaye watanzania.
  11. Rogate

    JamiiForums Tanzania Anaapa kukilinda chama cha kijani

    Wenye akili wataelewa wavivu wakufikiria watazomea nakysema hovyo. Hii ni hali halisi katika picha
  12. Rogate

    JamiiForums Tanzania Yote tisa, kumi CCM wametuweza kweli kweli

    Hata ukawa waweke mbuzi nini mwizi tutachagua mabadiliko ili hawa mabwana warudi chini watuheshimu sisi wananchi. Kichinjio kipo tayari
  13. Rogate

    JamiiForums Tanzania Star Tv Kunani Kipindi Cha Ajenda 2015?

    Hiki kipindi kimeishia wapi, nimekua nikikiwinda wiki ya pili sasa
  14. Rogate

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    maboresho yanatakiwa kufanywa na Lowasa anapoongea na hadhira kubwa kama hizi anazokutana nazo akiwa UKAWA. Anaoendanao wanapiga made nae anatakiwa kwenda na kasi ile
  15. Rogate

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi iliyoendelea kwa kubadilisha Chama!

    Maendeleo yanapatikana kama viongozi wana nia ya dhati. Nia ya ccm ni kuiba na kufilisi watanzania. Hawataki kutoka kwasababu miradi yao yakifedhuli itafika kikomo. Kama unabenefit moja kwa moja kwa ccm kuwa madarakani jua watanzania wamechoka kuibiwa
Back
Top Bottom