Recent content by Rodgers Bernard

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kusaga, kukoboa mahindi na mpunga

    OK mkubwa kwa taarifa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kusaga, kukoboa mahindi na mpunga

    Asalaam wakuu, poleni na janga la korona popote mlipo. Kwa kifupi nipo kijijini na mtumishi, nauliza kwa mwenye uzoefu wa hizi mashine za kukoboa na kusaga, changamoto zake na bei zake na zinavyolipa. Nipo kwenye kijiji ambacho hakina mashine ya uhakika kabisa ya huduma hiyo. Naombeni mwenye...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    Upo sahihi hayo ndio matarajio ya solo simaanishi sasa ,kipindi upo na 90000 kwa gunio mkuu upo hapo!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    Wel hio imekaa vizuri ,tupambane Sent using Jamii Forums mobile app
  5. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    Mkipatikana watu 1000 wa Tanzania kama wewe wenye positive mindset kwa kias kikubwa tutapunguza umaskini ,thanks uncle nimekuelewa sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    Muulize huyo mtaalam,mpunga unaharibika baada ya muda gani ,je mvua zitakuwa nyingi tena mwakani?akikupa jibu rudi hapa utueleze, NOT ALL EYES CAN SEE OPPORTUNITIES,IT IS SEEN BY FEW PEOPLE Sent using Jamii Forums mobile app
  7. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    Think big brother ,acha joking naleta fursa unaleta utani,mm ni mtumishi nipo kijijini , nina pesa wanazengo wa na mazao natumia nafasi hio kufanya namna au? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    Hilo ndio wazo tunapeana fursa mbalimbali ,kama mtaji upo tuwasiliane Sent using Jamii Forums mobile app
  9. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    Mpunga unaharibika baada ya muda gani, hapana kuwa waoga ,kujaribu ni jambo jema Sent using Jamii Forums mobile app
  10. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    Nimekuelewa mkuu ila najitoa mhanga na kuwa na tahadhari ya hali ya juu ,kwa kifupi nipo tayari Kutake risky ,na sikurupuki na najiandaa kukusanya magunia 200 ,Nashukuru sana kwa ushauri ,nitafanyia kazi wasiwasi uliopo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    Kwa sasa mavuno bado kwa hio kitini kinaenda kwa sh 3000 sawa na 90000 kwa gunia!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    Nipo misungwi mwanza hapa kando ya ziwa victoria Sent using Jamii Forums mobile app
  13. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    45000 kwa gunia wakati wa mavuno Sent using Jamii Forums mobile app
  14. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    Kwa kifupi kwa utafiti niliofanya ,gunia la debe 7 litapatikana kwa sh.45000 Sent using Jamii Forums mobile app
  15. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mpunga...

    Misungwi mwanza Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom