Kwa mwenendo huu wa hili bunge.. sidhan kama lengo litafikiwa, hawa wabunge walienda pale kwa mfano wa wabunge wa jamuhuri na matendo yao wakiwemo bungeni
Kwa ukweli inasikitisha na inaumiza sana.
Sielewi hawa askari ni kwanini anatumia nguvu za kupita kiasi kwa raia wanotakiwa kuwalinda tena wasio na silaha. Mwisho wa siku itaundwa tume nao wakiwemo then ni jibu gani utapata...? Mtu anapojihoji mwenyewe..?
Hizo picha ni ushahidi tosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.