Recent content by Robert10

  1. R

    SoC04 Tanzania tunayo itaka ni ile yenye mikakati thaditi ya kutumia rasilimali watu (vijana)

    Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na idadi kubwa ya vijana kwa mujibu wa sensa. Napendekeza Tanzania tunayo itaka ione hii kama fursa kwa maendeleo ya nchi, Kama vile ikitokea janga la njaa, mafuriko, maporomoko ya tope kule hanangi, na majanga mengine serikali inao wajibu pia kulichukulia swala...
  2. R

    SoC04 Tanzania tunayoitaka ni ile itakayobadili mtazamo wa elimu kuwa ni kutatua matatizo na si fedha

    Mtazamo wa elimu yetu ni kuwa elimu ni njia ya kupata fedha na maisha bora, Tumekuwa tukiona walimu, wazazi/walezi, viongozi wa serikali na jamii ikihamasisha watoto kuzingatia elimu ili baadae waishi maisha mazuri, badala ya kusisistiza elimu yetu kutatua matatizo. Hatuhitaji tena elimu inayo...
Back
Top Bottom