Recent content by Robert PR

  1. R

    Ya Magufuli na Dr. Tulia ni mpango wa CCM dhidi ya Lowassa

    MAGUFULI ANAMTAKA NANI? Katika mchakato wa kumpata Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma, agenda kubwa imekua mawazo ya Rais Magufuli ni yapi? 1. Je Magufuli anamtaka kijana Abdulla Mwinyi mbunge wa Afrika Mashariki? 2. Je, Rais Magufuli anamtaka Job Ndugai...
  2. R

    Kamati Kuu ya CCM yawapitisha Job Ndugai, Dkt. Tulia Mwansasu na Abdullah Mwinyi kugombea Uspika

    WHO IS DR. TULIA ACKSON?? (Contestant-Speaker of the URT National Assembly) 1⃣Early life Dr. Tulia Ackson was born on 23 November 1976 in Bulyaga Ward, Tukuyu Division, Rungwe District, Mbeya City, the United Republic of Tanzania. She is the 16th Deputy Attorney General of the...
  3. R

    Kutoka Mkendo: Mkutano wa kampeni wa chama cha Mapinduzi mjini Musoma

    Tutasikia mengi sana mwaka huu.
  4. R

    Kutoka Mkendo: Mkutano wa kampeni wa chama cha Mapinduzi mjini Musoma

    "Kutembea mwendo wa kinyonga,kuongea mwendo wa kinyonga,kuinuka mwendo wa kinyonga,Mic mpaka unashikiwa alafu unataka nchi uiendeshe kwa mchaka mchaka.Mchakamchaka Upi?" -Mwigulu Nchemba. star Tv live from Musoma mjini.
  5. R

    mimi na wewe nani ni mpumbavu!!!!!!

    mwaka huu tutasikia mengi by mkapa
  6. R

    mimi na wewe nani ni mpumbavu!!!!!!

    1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI #Huo NdioUpumbavu. 2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni #Huo NdioUpumbavu. 3. Kupanda daladala ili upate kick ya kisiasa #Huo NdioUpumbavu 4 Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi...
  7. R

    Diana Chilolo, Mbunge Viti Maalum Nusura apate kichapo mbele ya Kikwete mkutano wa NEC

    Mh. Diana Chilolo anusurika kupigwa mbele ya Rais, azomewa na wajumbe wa NEC mbele ya rais.Ni alipomsema Mwigulu Nchemba; wajumbe wasema usiguse mboni ya macho yetu. Kutoka Dodoma kilichomkuta mama Diana Mkumbo Chilolo hata kusahau baada ya kuzomewa na ukumbi mzima wa NEC pale ilipofika...
  8. R

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Magufuli anapata coverage kwa umma jana alikuwa Lindi leo yuko Mtwara kwa wapiga kura.wewe endelea kuwanywesha viroba baavichaa.
  9. R

    Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais ofisi za NEC Jumatatu tarehe 10 Agosti, 2015

    Tukisema lowassa anasafirisha nyumbu kwenda kwenye mikutano yake mnabisha. Ona hapa sasa. Kwa wale mliokalibu na tabata kesho saa mbili kamili gari litaanzia tabata magengeni kwenye office za chadema kupeleka watu buguruni nasafari zingine hivyo tukutane hapo na namba 0716854745 ndio...
  10. R

    CHADEMA Mbalali yasimamisha mgombea wa ubunge asiyekubalika

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida CHADEMA wameamua kumsimamisha mgombea ubunge jimbo la Mbarali kwa shinikizo la viongozi wa Wilaya na Taifa. Kwa hiyo wanachama wa CHADEMA wametishia kukihama chama hicho na mpaka sasa wameandamana mpaka ofisi za Kanda Mjini Mbeya na wanakusudia kuchoma moto...
  11. R

    Vunja Makundi MwanaCCM Fanya kazi ya Chama

    Rasmi sasa ni Team CCM na nitamnadi Kada wetu John Pombe Magufuli ambaye Wajumbe wa Mkutano Mkuu wamempa ridhaa ya kugombea kwa kura za kutosha. Makundi ni sehemu ya demokrasia ya siasa za uchaguzi na kwa sasa yamemalizika na tunakuwa wamoja kwa ajili ya maslahi chama chetu. CCM ni ile ile na...
  12. R

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Hata mimi sijaelewa chochote naona Jamaa anamapenzi sana na Mwigulu Nchemba.
  13. R

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Kumbe sio WanaNchi walioandika kwenye Maeneo yao!! Mwigulu for President
  14. R

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Haahahahahahahaha mkuu Umetisha sana.
Back
Top Bottom