Recent content by Robby Drone Tz

  1. Robby Drone Tz

    Tusioshabikia Simba wala Yanga tukutane hapa

    Duh! Sometimes it's true
  2. Robby Drone Tz

    Simba kufungwa na Raja tumestahili, tujipange msimu ujao

    SIYO Babu peke yake. Defending line yoote! Ilikuwa hoi
  3. Robby Drone Tz

    Simba kufungwa na Raja tumestahili, tujipange msimu ujao

    Hapa kwenye suala la Usajili washabiki tumeingozwa choo Cha kike. Eti mara ooh! Tumejipanga kisawasawa kuwakabili wapinzani wetu. KUMBE hata ykifuatilia kambini mazoezi utafikiri wanacheza kombolela
  4. Robby Drone Tz

    Simba kufungwa na Raja tumestahili, tujipange msimu ujao

    Usajili wa nguvu. PESA HIYO ipo?? Au washagawana madividendi wanahisa
  5. Robby Drone Tz

    Simba kufungwa na Raja tumestahili, tujipange msimu ujao

    Na wewe usiwe mtu wa ovyo. Elewa sisi sote ni wanasimba , na tunataka matokeo
  6. Robby Drone Tz

    Simba kufungwa na Raja tumestahili, tujipange msimu ujao

    Kwa Huyu kocha Robertinho mbrazili, sidhani kama anavuta bangi. Kwahiyo speed labda ni harakati ZAKE kuinusuru timu isifie mikonoki mwake
  7. Robby Drone Tz

    Simba kufungwa na Raja tumestahili, tujipange msimu ujao

    Lile pira Dubai limekwenda wapi?! Au walikunda kutafuta Malaya Dubai!! Vijana wa thiimbaa!! Vp? Pumzi imekata mapemaaaa!! Onyangoo limi lote nje. NIMEUMIA SAANA!!
Back
Top Bottom