Uongo mbaya,nime download nimepitia ila hakuna ninachoelewa, halafu , naomba unisaidie kitu kimoja kwenye barua ya uhamisho jina limeandikwa kimakosa ,lahma badala ya rahma,cha ajabu nakwena halmashauri wananiambia hizo ni herufi tu hazina shida ,usijali,je kwa uelewa wenu haita niletea shida???